Thomas Paul Member Joined Jan 8, 2018 Posts 20 Reaction score 3 Mar 28, 2020 #1 Wana jf ningeomba kujua ni kipengele kipi na kipi ukisoma ICT unaeza pata kazi kwenye makampuni ya mitandao ya simu kama vodacom, airtel e.t.c. Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jf ningeomba kujua ni kipengele kipi na kipi ukisoma ICT unaeza pata kazi kwenye makampuni ya mitandao ya simu kama vodacom, airtel e.t.c. Sent using Jamii Forums mobile app