Naombeni mnijuze hili kuhusu pharmaceutical science

Joined
Jun 16, 2016
Posts
68
Reaction score
39
Naomba kuuliza kwa anayejua hvi ukisoma basic technician certifucate in pharmaceutical science NTA 4 ukifaulu vizur unaruhusiwa kusoma, level 5, 6 then degree for the same course? Naombeni kwa anayeelewa anijuze
 
Kwann usisome ile ya miaka 2, yaan level 4 na 5 then diploma up tu Degree..?
 
Sifa zinapungua...ya miaka miwili lazima iwepo physcs na physics skusoma....ila level 4 wanaruhusu without phys..sa nlikuwa nauliza kama nkianzia level 4 wataruhusu level 5 na kuendelea isje tena wakaxingua mbele
 
Hapo sasa mizngua, ingekuwa mwaka jana ungepata ya miaka miwili... sasa hyo ya mwaka mmoja itakuwa kama muuza madawa
 
Sifa zinapungua...ya miaka miwili lazima iwepo physcs na physics skusoma....ila level 4 wanaruhusu without phys..sa nlikuwa nauliza kama nkianzia level 4 wataruhusu level 5 na kuendelea isje tena wakaxingua mbele
Weka kwanza matokeo yako hapa mkuu, tushauriane vizur
 
Sifa zinapungua...ya miaka miwili lazima iwepo physcs na physics skusoma....ila level 4 wanaruhusu without phys..sa nlikuwa nauliza kama nkianzia level 4 wataruhusu level 5 na kuendelea isje tena wakaxingua mbele
mi nipo kwenye udahili muda mrefu kama haukusoma physics hupati hata NTA L 4 maana wanachukua waliosoma physics ila wamepata F

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bios C, Geog C, Chemis C, Maths C, Englsh C, Kisw C, Hist C, civcs D
Dah.. kjna una ufaulu mzuri sana.. sema phy tu hukusoma... but nakushauri uingie tu nacte then uombe hyo certificate ya pharmac miaka 2... maana Math umefaulu itafavor kwemye phys
 
Back
Top Bottom