kama unatumia android na cimu yako ina ram 512 mb ukiroot kwenda kwenye jely bean basi ujue cmu yako itakuwa slow sana,so kwa kesi hiyo si advice watu wa root hapo
Uzuri wa kuroot simu ni kwamba kuna baadhi ya applications zinahitaji root access ili ziweze kufanya kazi mfano baadhi ya file manager,batter savers na usb tethering apps(kwa simu zisizosupport),pia husaidia kuongeza features nyingi tu ambazo simu haisupport initially.
Ubaya wa kuroot ni kwamba warranty au guarrantee ya simu ndo inakuwa imeexpire baada ya kuroot.Hasara kubwa ni simu kuweza kuharibika moja kwa moja wakati wa kuroot.
Njia rahisi ya kuroot ni kutumia z4root.apk (an android application inayopatikana kwenye android market,au unaweza kuigoogle na kuidownload,uzuri wake haiiitaji uwe na pc..inamaliza kazi yenyewe)
Ukisha root nenda kwa Google store uka download na kuinstall Root Checker itakwambia kwamba simu yako imekuwa rooted properly or notutajuaje kama sim ipo rooted....?
Ukisha root nenda kwa Google store uka download na kuinstall Root Checker itakwambia kwamba simu yako imekuwa rooted properly or not