Naombeni mnifundishe mapenzi, sitaki kuumizwa tena

mmmmm,mapenzi ya aina gani sijafahamu? kumpenda mtu kufanya mapenzi kwenye sita kwa sita,kupunguza kupenda usiumizwe? mdada mtu mzima naomba nikulize labda,una expect nini kwenye mahusiano? je unacho ki expect na mwenzio pia ana unajaribu kumfikisha japo robo ya expectation zake au unakua kama majini wa sikuizi wanaotaka kujifikiria wao tu?
 
Anayekupenda atafanya yafuatayo (kwa uelewa wangu).
1. Atakuheshimu popote
2. Atakuthamini na kukujali mda wote
3. Mda mwingi ata express hisia zake kwako kwa dhati na dhamira.
4. Atakuwa kwa ajili yako, ikiwa ni pamoja na kukusikiliza.
All in all..atafanya yote unayohisi wewe kumfanyia mtu umpendaye.
Ngoja waje wajuzi zaidi wa hii fani watakufafanulia zaidi.
 
Nina muda mrefu sijadate natamani kuingia kwenye serious relationship, naombeni msaada maana sometimes naona nakuwa na too much expectations halafu naumia mapenzi yapoje.

Naombeni msaada

Mimi mwanamke

Mdada mtu mzima sio mtoto hata
Mpendwa wee kwa umri wako huu wahitaji "alfu layila u layila" mengine ni kupasuwa kichwa !!
 
Back
Top Bottom