Naombeni mnieleweshe

Naombeni mnieleweshe

Una umri ganj!? Ina maana katika maisha yako hujawahi kukojoa!? Hujawahi kupata hali fulani wakati wa kwichi kwichi.. Raha unayoona hii ni raha kubwa zaidi(raha maximum)

Ngoja nikanywe wanzuki kwa mzee bundala, nitarudi baadae.
Nishawahi pataaa especially napokua on bed na mtu nnae..mfeel ila sikujua Kama ndo kusquart
 
Nishawahi pataaa especially napokua on bed na mtu nnae..mfeel ila sikujua Kama ndo kusquart
Wewe bado ni mdogo sana,usiweke sana ngono mbele.Kwenye dunia hii hakuna kitu kinachotesa kama umasikini wa kipato.Heri ufungwe jela kuliko kuwa masikini wa kipato.Kwa sasa hivi pigania sana kufuta umasikini wa kipato halafu utakuja kunishukuru baadae.
 
Go and read more
Screenshot_2020-11-21-19-36-39.jpg
 
Back
Top Bottom