Naombeni mnieleweshe

True..
 
Mie mzee mwenzio mbona, af wazee ndio wazuri mkiwa maabara wanajua kusikiliza maelekezo ya dokta.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe mzee mwenzangu eehhh...ila Mimi engine kufa kabisa..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe mzee mwenzangu eehhh...ila Mimi engine kufa kabisa..
Hio inapigwa overhaul kabisa mbona mashine inakuwa nzima kama vvt-i kabisa! Hizo ndio shuhuli zetu wataalamu wa uzazi. Usihofu!
 
Hio inapigwa overhaul kabisa mbona mashine inakuwa nzima kama vvt-i kabisa! Hizo ndio shuhuli zetu wataalamu wa uzazi. Usihofu!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mzee mwenzangu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ...niache niwashe ugoro kwanza
 
You need everything not something!
Kama hutajali nicheki P.M im having a Bachelors degree in Gynaecology & Sexual Pleasures. Njoo nikupe mafunzo kwa vitendo.
Mkuu..na Mimi nakuja..hiyo degree unayo we Tz nzima
 
Hayo mapya si ufundushe tu vijana Jamani...mie nimejitoshea na uzee huu😎
Vijana wamezidi ujuaji acha wakaangukie pua kwanza. Watarudi kwa adabu. Mtu anaitwa mapokezi anatuma mikono πŸ™ kweli...Sa ntamtibuje!?
 
Vijana wamezidi ujuaji acha wakaangukie pua kwanza. Watarudi kwa adabu. Mtu anaitwa mapokezi anatuma mikono πŸ™ kweli...Sa ntamtibuje!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ungeendelea kumchombeza angekuja tu..
 
Hahahah ugoro unaujulia wapi wewe hebu wacha kunchuuza hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we washa gesi tule ugali mida ya lunch inakaribia hii.
🀣🀣🀣🀣 Extro wewe...hakipikwi kitu leo mzee mwenzangu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ungeendelea kumchombeza angekuja tu..
Kitu kimoja huwa nikishamspot ni under 24 huwa sijihangaishi. Let the drama live with her πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣 Extro wewe...hakipikwi kitu leo mzee mwenzangu
Kwahio leo tutakula story tu mzee mwenzangu πŸ˜‚!!! Acha uchoyo bana we wakati unaivisha mie nakutia vicheko,,,hebu tufanye huo mchezo wa kiutu uzima πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…