Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
jamani Heaven usione wivuuu
haya bana ngija niwaache mjimwaye mwaye
jamani Heaven usione wivuuu
habarini wanajamvi!Naombeni mawazo yenu he ni zawadi gani simple unaweza toa kwenye harusi??Kwa maharusi na wazazi wa bwana harusi??budget ya zawadi laki 5 hivi.Natanguliza shukrani!
Mi nashauri uwape hizo pesa then wataongezea wanachohitaji au walichopungukiwa au uwape GIFT CARD mfano kutoka kwenye duka la electronics au vifaa vya nyumbani unawawekea hio pesa humo kisha watachagua wenyewe watakachopendelea!habarini wanajamvi!Naombeni mawazo yenu he ni zawadi gani simple unaweza toa kwenye harusi??Kwa maharusi na wazazi wa bwana harusi??budget ya zawadi laki 5 hivi.Natanguliza shukrani!
mmmh mwekundu na wewe hili swali mbona ni kwa wote?Au ukienda kwenye harusi hutoi zawadi??
MASELE hiyo avatar yaniogopesha mwenzio......kila nikitaka kukusifiamass balance lazima ifanye kazi, nisifie nami dada yangu ili wenye wivu wajinyonge kwa kamasi. waoooo!!!!!!!
Simple! ok.kawanunulie gunia la matobolwa.
Waulize ni kitu gani hawana, then angalia kama unawza kukipata..kama bajeti itazidi basi wape cash watimize ndoto zao wenyewe.
Huwezi uliza wanataka nn ukatafute alafu ukikosa uwasakazie wao hela sidhani kama ni sahihi bora ufanye kauchunguzi kako nn hawana then ndo ukatafute ukikosa ndo uwape hela!
Hujanielewa