naombeni mawazo yenu wanajamii

naombeni mawazo yenu wanajamii

Master nyaki

New Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
4
Reaction score
0
nimepagiwa chuo tumaini mbeya afu chenye mchepuo wa arts wakati mm nimesoma sayans coz pia ni ya arts.
 
kama umesoma sayansi utashindwa nini kwenye arts? Mi nlidhani unasema umesoma arts afu umepelekwa sayansi....hapo ndo ungekoma
 
nimepagiwa chuo tumaini mbeya afu chenye mchepuo wa arts wakati mm nimesoma sayans coz pia ni ya arts.

nisichojua ni hilo neno mchepuo hapo juu lakini kama ukweli ni science au arts ndiyo mkanganyiko; jua tu science is an art of specifications na kama utapata uhai wa kufunua zaidi elimu ya hiyo unayotarajia basi utagundua kwamba art is a science of certain knowlege na hapo utagundua ni kama fraternal twins wanaotofautiana ingawa ni mapacha plz have PhD soon utayaona.....
 
Back
Top Bottom