mjasiria2mbo
Member
- Apr 23, 2014
- 43
- 18
Mwenzenu nmeolewa,naishi na binti wa kazi na tunapoishi ni nyumba ambayo mume wangu alianzia maisha so ni chumba na sebule tuu! Binti huwa namlaza kwa sebule na godoro dogo tu sasa mume wangu ana kaka yake anaishi hko na ana familia cha ajabu huwa anaweza akaja hapa kwangu na hakuna cha maana anakuja kufanya sasa akja manake namlaza apo sebulen na binti ni inabidi nimuombee kwa jiran ajibane kulala sasa mi hiki kitu kwa kweli kinanikwaza!
atakua anamfuata huyo housegirl sio bure
Ndo kwanza tuna miez tu ndugu Jawilat tutajenga tu lakini kwa sasa nafanyaje mana usiku napita apo seblen naenda uani labda ni shida
Tafuta hela bibie upange nyumba kubwa, ndo suluhisho! Tena utafute wewe hio hela, ukimngoja mume utasubiri sanaaaa! Kwa sie wazee wa mjini kupata kodi ya chumba cha pili sio ishu kabisaa kwetu! Unafunga macho mara 1, unajiachie mwaka mzima! Hata uje ukoo!
Tangia hapo ushukiru maana una chumba na seble, mwingine ana chumba kimoja na baba mkwe ndani, so wewe ndo unaenda kulala kwa jirani! Chezea jiji wewe!
pamoja ba yote jaribu kuongea na mumeo kuhusu hiyo hali uskae na sononekoTuko kwa mchakato wa kutafuta iyo nyumba kubwa pia so ngoja tu nijikaze na roho yangu