Huwa napenda kumsapriz my waif na vijizawadi sometimes. Leo nimeona nimpigie sim nimuimbie wimbo mzuri wa kuliwaza kimapenzi wa zamani. Nimejaribu kuwaza hapa lakini kila ninaowaza haujakaa kivile
rangi ya chungwa... no
msichana wa sura nzuri... no
singuo, utaomba mtu...no
mapenzi yananivunja mgongo... no
nakumbuka mazoea... no
Embe dodo... no
Tausi ndege wangu... no
Naomba wale wa enzi zetu wanipendekezee wimbo....
Hajawahi niambia niache rumba.... no
JARIBU HIZI: -Chiku mimi nakupenda sana...... -Nakupenda sana kweli, si kwa uzuri tu ulionao, hata tabia zako kwa kweli................ -Nakupenda kama pumzi ya maisha yako, Titi ee umeuteka moyo wangu nyara........ -Mtoto mwenye imani Conjesta, nimeamua kukupenda wewe pekee Conjesta.......... -MV mapenzi, meli ya wapendanao, moyo kama bahari manahodha mimi na wewe......... -Au huu hapa (lakini unaweza kuweka jina lake kama halifanani na hili)........We Naomi we Naomii, penzi letu Naomi limekuwa kama chunusi ilowiva, yahitaji kutobolewa na vidole viwili vyenye upendo..... Kwa sasa jaribu hizo kabla sijaendelea!!
Huo nimekubali. Ngoja niufanyie riheso...
Endelea kuorodhesha mkuu... maana nafanya riheso unakuwa tena mgumu...
Husninyo hapo umeua kabisa teh! Mchizi Domo zege!
Mi naona ukamchezee kiduku badala ya kumuimbia.