Babu sea JF-Expert Member Nov 14, 2013 953 742 Dec 23, 2013 #1 Nimesema hivyo coz sijui ni muvi gani nzuri nnayo weza kuitumia kuwaburudisha ndugu na jamaa watakao kuja kunitembelea kwenye msimu huu wa krismas botom line nitoe shukrani zangu za dhat kwako ww kwako ww utakae chukua mda wako kunisaidia.
Nimesema hivyo coz sijui ni muvi gani nzuri nnayo weza kuitumia kuwaburudisha ndugu na jamaa watakao kuja kunitembelea kwenye msimu huu wa krismas botom line nitoe shukrani zangu za dhat kwako ww kwako ww utakae chukua mda wako kunisaidia.
F furahi JF-Expert Member Nov 2, 2010 945 195 Dec 26, 2013 #3 The best man holiday 2013 By Moris Chestnut,Taye Diggs,Nia Long,Sanaa Lathan...