VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Naombeni majibu,juu ya weekend
Mliokwenda klabu,na ndoa mkadefend
Mkaiepuka aibu,mkaibuka washindi
Mlifanyaje?
Watu walilewa,wakafanyiwa mbaya
Na pombe wakazidiwa,wakazichota haya
Kwa lazima kukumbatiwa,kosa kufunjwa taya
Ilikuwaje?
Sisi tulio wazee,tukaogopa dhoruba
Tukaenda tutembee,kujiongezea haiba
Na vyakula tule,tuondoke tumeshiba
Tungefanyaje?
Mliokwenda klabu,na ndoa mkadefend
Mkaiepuka aibu,mkaibuka washindi
Mlifanyaje?
Watu walilewa,wakafanyiwa mbaya
Na pombe wakazidiwa,wakazichota haya
Kwa lazima kukumbatiwa,kosa kufunjwa taya
Ilikuwaje?
Sisi tulio wazee,tukaogopa dhoruba
Tukaenda tutembee,kujiongezea haiba
Na vyakula tule,tuondoke tumeshiba
Tungefanyaje?