Naombeni majibu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Naombeni majibu,juu ya weekend
Mliokwenda klabu,na ndoa mkadefend
Mkaiepuka aibu,mkaibuka washindi
Mlifanyaje?

Watu walilewa,wakafanyiwa mbaya
Na pombe wakazidiwa,wakazichota haya
Kwa lazima kukumbatiwa,kosa kufunjwa taya
Ilikuwaje?

Sisi tulio wazee,tukaogopa dhoruba
Tukaenda tutembee,kujiongezea haiba
Na vyakula tule,tuondoke tumeshiba
Tungefanyaje?
 
Erickb52 alisahau vipakiti vya 'salama' kwenye gari kesho yake wife kavikuta,timbwili halijaisha mpaka leo.
 
Erickb52 alisahau vipakiti vya 'salama' kwenye gari kesho yake wife kavikuta,timbwili halijaisha mpaka leo.

Hahahaaaaa kuna mtu kadakwa kweli rafiki yangu ila yeye kwenye mfuko wa koti dah
Nomaaaaa...
Bishanga mi weekend nilikuwa na Madame B tunakula good tym ndani ya Arachuga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom