we acha tu!
umeshaenda kwa jirani lakini?
nenda bana kupiga mtoto kiasi cha the kid(nimejaribu kidogo hapo na mimi kutia chizungu)anashindwa kupumua ni aina ya kuhamisha tatizo kwa kuliekeza kwa walio wanyonge!huyo hg naweza kuingia kwenye akili yake nikasema nini kinapita akili kila anapumuona huyo mtoto.ukiweza zungumza na huyo hg pia!she needs some counselling u know!(oh tate nane na mi kumbe naweza kweli ukikaaa karibu na mawaridi unanukia)chezea kusoma kiinglishi kitupu tena cha kijijini kama cha HoneyBee alichoandika mchezo!