TihZ Senior Member Joined Jul 31, 2012 Posts 158 Reaction score 26 Feb 21, 2013 #1 Eti hivi ni vibaya kumwita mpenzi wako 'Mpendwa' au ndo natafutiwa sababu.
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,848 Feb 21, 2013 #2 Mmhh... Mbona hujiamini ndugu..! Unaelewa maana ya mpendwa lakini? Kama unaamini anakupenda hata akikuita jina lako poa tuu..!
Mmhh... Mbona hujiamini ndugu..! Unaelewa maana ya mpendwa lakini? Kama unaamini anakupenda hata akikuita jina lako poa tuu..!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Feb 21, 2013 #3 Mimi sifahamu bana TihZ said: Eti hivi ni vibaya kumwita mpenzi wako 'Mpendwa' au ndo natafutiwa sababu. Click to expand...
Mimi sifahamu bana TihZ said: Eti hivi ni vibaya kumwita mpenzi wako 'Mpendwa' au ndo natafutiwa sababu. Click to expand...
TihZ Senior Member Joined Jul 31, 2012 Posts 158 Reaction score 26 Feb 21, 2013 Thread starter #4 Neylu said: Mmhh... Mbona hujiamini ndugu..! Unaelewa maana ya mpendwa lakini? Kama unaamini anakupenda hata akikuita jina lako poa tuu..! Click to expand... hapana mimi ndiye niliyemwita mwenzangu mpendwa akaniambia hataki jina hilo bora nimwite tu jina lake
Neylu said: Mmhh... Mbona hujiamini ndugu..! Unaelewa maana ya mpendwa lakini? Kama unaamini anakupenda hata akikuita jina lako poa tuu..! Click to expand... hapana mimi ndiye niliyemwita mwenzangu mpendwa akaniambia hataki jina hilo bora nimwite tu jina lake