Naombeni kujuzwa Mafuta mazuri kwa ngozi yenye Mafuta

Naomba kufahamu, mafuta unayozungumzia ni kwa ajili ya mwili mzima au usoni tu? Ukinipa jibu nitajua cha kushauri

sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
 
Ndugu yangu pole, ila nasikia nivea for men in nzuri. Ucjaribu kutumia lotion product ya cocoa naturally zote zina mafuta am stand to be corrected. Wenye ngoz kavu wana uwanja mpana kuliko sisi wenye ngoz hizi kama vitumbua
some how ila pia kuna lotion ingine inaitwa natural honey revlon ni nzuri sana pia
Tumia NIVEA FOR MEN itakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Vaseline

Sent using Jamii Forums mobile app
mafuta ya cherehani ni bora sana ingawa wengi hawajui. paka mwilini na nywele pia.
Njoo nikupatie Veerox ya alovera na tango, ni kavu

Only 12000 tu call 0714547830

invest what you are willing to lose
Ahsanteni wote kwa msaada wa kimawazo.
 
Back
Top Bottom