Habari Wakuu!Naombeni kujua eneo lililo katikati ya Gate la nchi moja na nchi nyingine yaani kwenye boarders linaitwaje kwa kiingereza? Like eneo ambalo "SI" askari wa Nchi A au wa Nchi B anayeruhusiwa kumkamata RAIA wa Nchi nyingine akifanya kosa la jinai.