Nimepata wateja wa kununua unga wa mahindi nje ya Nchi,naomba kwa wale wanaofanya biashara hiyo,wanijuze utaratibu,hasa vibali ninavyotakiwa kuwa navyo,upatikanaji wake,wapi vinapatikana, wakati wa kusafirisha mzigo wa unga wa mahindi. Pia ningependa kuchua kama kuna ushuru nitatakiwa kulipa ninapofika mpakani.