Naombeni kujua kuhusu pornograph

pilu

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
488
43
Habari wana JF!

Naombeni kujua (sina hakika kama limeshawahi kuzungumzwa humu) , Je kama unapenda kutazama mara kwa mara pornograph na mmeo /mkeo kabla ya kudo ina madhara yoyote kiafya?
 
Sana tu, kuna wakati itabidi utizame kwanza ndo uweze kudindisha! Na kuna wakati itafika hata ukitizama haudindishi!
 
Inapunguza nguvu kwa mwanaume yeyote, pia hizi muvi zinzpunguza kujiamini, usiwe unaangalia mara kwa mara, do it few times a year.
 
Kila mtu angesoma waigizaji wa huu uchafu wanavyosema vibaya, kutendewa zaidi ya wanyama, kushushiwa utu na ubinadamu, sidhani kama wangeendelea kutizama na kusherekea uchafu huo.

Ikiwa kama unategemea huo uchafu, fahamu wewe si 'rijali' wala mbunifu. Haya matakataka ndio yanayohamasisha ngono kinyume na maumbile, ngono za jinsia moja, ngono ya mdomi, ngono na wanyama.

Yote hayo huleta maangamizi makubwa sasa kwa binadamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom