Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Wewe unafanya kazi ofisi A, ulikuwa unawafanyia watu huduma nzuri kwa bei ya elfu 10, na watu wanajua ofisi A wanatoa huduma nzuri kwa bei ya elfu 10, sasa baada ya muda akaja mfanyakazi mgeni naye kavamia huduma hiyo hiyo na anawachaji watu kwa elfu 15 hadi 20, je kibiashara hapo imekaaje? Uendelee na elfu 10 kwa lengo la kuwavutia wateja au ubadilishe bei ilingane na ya mgeni?