Tumsaidie dogo ๐คฃAndika kama mtu mwenye akili sawasawa au wewe ndio huyo dogo?
Na baada ya muda mrefu, tutaikataa veta tuhimize vyuo. --- haya ndo maisha ya tanzania yetuVeta ndo chaguo Bora Kwa sasa!
Tunaenda na upepo!Na baada ya muda mrefu, tutaikataa veta tuhimize vyuo. --- haya ndo maisha ya tanzania yetu
NaamTunaenda na upepo!
Watanzania akili zao zinawaza hatua moja mbele hapo ndo mwisho akizidisha kufikir sanaaai anarudi nyuma hatua 3, ndo maana mm nafanya juu chini nitoke unyann nikabebe box na starud tena huku, labda nije kuangalia wanyama kama mtaliiNa baada ya muda mrefu, tutaikataa veta tuhimize vyuo. --- haya ndo maisha ya tanzania yetu
tulia uandike vzur, amechaguliwa certificate NTA level 4 mwaka wa kwanza, akifaulu ndio ataanza diploma NTA level 5 mwaka wa pili, mwaka wa tatu NTA level 6 ndio diploma yenyewe,,Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie tumshauri dogo ufaulu wake nika ifuatavyo
phy d mth f cv f kxw f bio c geo c chem d lit d hixtr c .pia amepangiwa chuo account and finance diploma lakini ataki hicho kitu .ushauri wako ni muhimu sana
๐๐๐Watanzania akili zao zinawaza hatua moja mbele hapo ndo mwisho akizidisha kufikir sanaaai anarudi nyuma hatua 3, ndo maana mm nafanya juu chini nitoke unyann nikabebe box na starud tena huku, labda nije kuangalia wanyama kama mtalii
Shukrani mkuu๐๐Aende VETA SHINYANGA akajifunze kuoperate mitambo mbalimbali ya migodini, then aende south africa wiki 2 kupata cheti cha umahiri (ni laki 8 tu course na cheti) ataelekezwa hapohapo VETA shinyanga akiishi vizuri na walimu.
Baada ya hapo asipoweza kupata milioni 2 kila mwezi anitafute pm.