Holota
Senior Member
- Feb 20, 2022
- 114
- 91
Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au finance and planning internship. Nipo Dodoma, niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii. Asanteni sana kwa msaada wenu.