Kazi ya Shamba kuhudumia Mifugo na Usafi wa Mabanda
Mshahara : 100,000
Chakula na Malazi ni Juu ya Muajiri
ukiona uko interested njoo inbox siku na saa yoyote hata kama uko na wenzako 10 wote njooni kazi ipo na mtapata sehemu za kuishi na chakula na afya yenu itakua juu ya muajiri.
Vigezo :
Uwe na wadhamini wawili wenye makazi ya Kudumu wenye namba za Nida
wewe Pia uwe na Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa
Eneo la Kazi ni TANZANIA (Utaenda mkoa wowote ndani ya TZ utakaopangiwa so kuwa tayari na hilo)
Asante