M mymy JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 296 Reaction score 112 Jan 8, 2014 Thread starter #21 Titia said: may b anataka tu kumfahamu ili kupunguza maswali kila anapokuona na wakaka wengine. Click to expand... maswali ya nini wakati mtu ni ex...?
Titia said: may b anataka tu kumfahamu ili kupunguza maswali kila anapokuona na wakaka wengine. Click to expand... maswali ya nini wakati mtu ni ex...?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Jan 8, 2014 #22 Lazima tuwe na scale of preference.. hata kama ni huku mapenzini! mwanaume bora lazima ajihakikishie usalama wa mali yake kwa kujilinganisha na njemba iliyopita.. umemwachia nini-mapungufu yake ni yapi?, je afanye nini kuleta advancement zaidi na zaidi katika kukupa burudani!? by the way, badala ya kumwambia X wako ni nani, mwambie kwanini mliachana.. hii itampa deam light za do's and dont's!
Lazima tuwe na scale of preference.. hata kama ni huku mapenzini! mwanaume bora lazima ajihakikishie usalama wa mali yake kwa kujilinganisha na njemba iliyopita.. umemwachia nini-mapungufu yake ni yapi?, je afanye nini kuleta advancement zaidi na zaidi katika kukupa burudani!? by the way, badala ya kumwambia X wako ni nani, mwambie kwanini mliachana.. hii itampa deam light za do's and dont's!
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Jan 8, 2014 #23 mpe makvu mwambie ukweli TU..kwan kilichofanyika hakifutiki ..atakuwa kunakitu anahisi au ukweli flani anaujua/kaambiwa juu yako so anakutega tuu aone uaminifu wako upo wap ...KAZ KWAKO
mpe makvu mwambie ukweli TU..kwan kilichofanyika hakifutiki ..atakuwa kunakitu anahisi au ukweli flani anaujua/kaambiwa juu yako so anakutega tuu aone uaminifu wako upo wap ...KAZ KWAKO
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Jan 8, 2014 #24 Pengine ametajiwa sasa anataka kuthibisha kwamba ndiye huyo huenda haamini kama kweli uliweza kutembea na yule
Pengine ametajiwa sasa anataka kuthibisha kwamba ndiye huyo huenda haamini kama kweli uliweza kutembea na yule
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Jan 8, 2014 #25 ^^ Ni mwanaume makini, usipomjibu chochote jihadhari sana asipokuuliza tena. ^^