Naona mkuu Pendael24 kaupiga mwingi tiali... ila kwa siku nyingine... ukiitaji wimbo wa kwenye clip kama hivi unawasha Shazam una play hiyo clip shazam watakupa majibu.. kama sio iPhone user unaweza kudownload vidmate kutoka google (sio playstore) kwa ajilj ya kupakua vitu youtube