shituka kutoka usingizini, petrol bei juu, unga bei juu, Mchele bei juu, mafuta ya kula bei juu, marejesho ya mkopo wa elimu ya juu bei juu, gharama za maisha bei juu. Bado unamuwaza Paul Makonda?Acha kelele tupo busy na ishu ya bashite
kinakusaidia nini wewe na kizazi chako? kamwe huwezi kufanikiwa kwa fulani aliyeko juu yako kuharibikiwaMi shida yangu ni cheti cha bwana daudi bashite tu, blah blah nyingine staki kusikia
Mtafute gwajima anayo majibu yotebashite ndio nani?