Naomben ushauri..

Naomben ushauri..

4realy

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
78
Reaction score
16
Helloo!!nimeolewa mume wangu ananiweka kwenye wkt mgumu.. haonyesh kunijali,haonyesh kujal hisia zangu,hanickiliz kwa lolote,nikimshauri kitu hawez kukifanyia kaz labda ashauriwe kitu hicho hicho na mtu mwingine au mama yake.najickia vibaya sana naona km ananidharau kwan anaweza hata kunigombeza mbele ya msichana wa kaz.naomben mnisaidie nifanyeje nahc kuchanganyikiwa..nampenda sana mume wangu lkn hanielewi kila nnachokifanya nakukisema kwake n ikibaya.. Yuko radhi kunikwaza mimi ili kumfurahisha mtu mwingine.mwanzo nlijua mume wangu ni mkali sana lkn nimekuja kugundua ukali wake ni kwangu tu..na wengne anawatendea vema..kwa walio nielewa naomben ushauri.naomben mcnijib vibaya jaman ntaumia zaid
 
4realy sory please unaweza kuniambia last post yako hapa ilihusu nini?
 
Last edited by a moderator:
Mbona huachi kulalama ndugu? hebu labda tueleze historia ya ndoa yako japo kwa ufupi,maana naona hii ni second time waeka thread ya kulalama.
 
Ushapigwa Nuxi na Gundu na small house! Hapo akikuona tu vinapanda! Mi nakushauri kama ni Mkristu utumie msimu huu wa Kwaresma kufunga na kuomba ufunguliwe familia yako! Pia waweza waona waombeaji kina Mwakasege na Nabii Flora pale Tegeta Mbuyuni! Utayaweza yote katika yeye akutiaye nguvu!

Na kama huna dini/mpagani rudi kwenye Kiringe mkapambane vizuri!!!!!!!! Halahala tu Mambo ya kuvunja nazi njia panda kwenye traffic lights uchi wa mnyama yataka moyo ati!!!!!!!!
 
Kama hata ukiongea au kumshaur kit anachukia.... Labda anasikia mdomo wako unanuka, jarb kupiga mswaki kwanz kabla hujaanza kuzungumza nae
 
Kama hata ukiongea au kumshaur kit anachukia.... Labda anasikia mdomo wako unanuka, jarb kupiga mswaki kwanz kabla hujaanza kuzungumza nae

Naona hapa umeongea kifasihi zaidi... 4realy anaweza asikuelewe mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
Daa hii ngumu kumesa kwa kweli!!!

Wapi kiroba orignal nishushie!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dawa ya kiburi ni jeuri. Ignore him. Fanya wajibu wako kama mke na familia. Mengine muachie aendeshe jahazi. Atoe matumizi hapo na kupractice udume wake. Akikugombeza mbele ya dada tabasamu na umuonyeshe haujali. meanwhile muombee Mungu huo upuuza wake usimtoe roho.
 
Ushapigwa Nuxi na Gundu na small house! Hapo akikuona tu vinapanda! Mi nakushauri kama ni Mkristu utumie msimu huu wa Kwaresma

mh! kwaresma imekushika sana lara 1 kwani inaisha lini!?...nakusalimu sana!...
 
Last edited by a moderator:
jaribu kuwa mvumilivu...kaa chini ongea nae mwambie ukwel....mwambie unavyo jiskia usimfiche kitu...hizo ndo changamoto za ndoa...
 
pole xana,bt bdo unanafasi ya kumuweka chni mumeo na kumwambha wat u feel,halaf ukaona responz yake ikoje...na hapo jitahd kumwambia yote yanayokusbu bila kumungunya mate,,angalia matokeo yako ukiona bdo haelewek fanya uamuz mkuajwa zaid wa kuwashrkisha washenga na wazaz! kama bdo sa hapo inabd ujifunge mtt wa kike
 
kaa nae chini mpe msimamo wako...... Ila unajua matatizo mengi wanawake wanzyalea toka kipindi cha ugf na ubf?????asipokusikiliza give him the taste of his own medicine....
 
usikute ulijipeleka... tupe ka background kenu japo kiduuchuu..
 
Back
Top Bottom