kwa ushauri wangu, ayo matokeo yake kwa sio mabaya(ni mazuri), kwa iyo apende matokeo yake na baada ya apo ningeshauri kua angetafta nafasi katika ngazi ya DIPLOMA, naomba ajaribu cource za HUMAN RESOURCE, MASS COMMUNICATION, FINANCE & TAX, NA kwa kua ni diploma pia angejaribu kuomba ktk COURCE ya IT. mwisho ni kwamba wapo wamefail zaidi yake lakini wanaendelea vizuri, na pia si kila mtu anae-fail hajui kitu, wapo watu wengi wenye akili sana ila cha kushangaza matokeo hua yanakuja chini juu.