Naomben msaada wenu

coolbabyboi

Member
Jan 19, 2012
10
1
mim ni kijana wa miaka 24 naish apa apa dar.tatizo langu ni moja kama c mawili kila nifanyapo tendo la ndoa na mdada hudiliki kutoniacha kabisa na kuniganda kama ruba kiasi kila niombacho napewa sasa nawachumba wawil ambao makwao mafahar(matajir) na wote wananisikilza kila nisemalo kias kuw nikitaka kumwambia mmoja wapo kila mmoja huanza kulia na kutokula siku nzima na kutaka kujinyonga na wazaz wake kuja kunitafta kwetu nipo ktk kiza cjui cha kufanya na kuendesha mapenz watu wawil kitu ambacho utakuw unamuumiza mmoja wap je wana JF munanishaulije
 
Leo ndo unajua kwamba kuendesha mapenzi ya watu wawili unakua unamuumiza mmoja wao??
 
hakoo kairiziii ulipataa sumbaa wagaaaaa....bado hawajapataa wa kuwamegaaa,ilaa wakishaa pata wa kuwamegaa wata kuacha wotee solembaaa,fanyaa vitu vyaa maana,kablaa hawajakuachaa
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
.................................................................................................................................................................................................................................................................................................00000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
 
mim ni kijana wa miaka 24 naish apa apa dar.tatizo langu ni moja kama c mawili kila nifanyapo tendo la ndoa na mdada hudiliki kutoniacha kabisa na kuniganda kama ruba kiasi kila niombacho napewa sasa nawachumba wawil ambao makwao mafahar(matajir) na wote wananisikilza kila nisemalo kias kuw nikitaka kumwambia mmoja wapo kila mmoja huanza kulia na kutokula siku nzima na kutaka kujinyonga na wazaz wake kuja kunitafta kwetu nipo ktk kiza cjui cha kufanya na kuendesha mapenz watu wawil kitu ambacho utakuw unamuumiza mmoja wap je wana JF munanishaulije

Ongea na baba zao wote wawili na kila mmoja umueleze kuwa una demu mwingine.
 
Mbona mi sijaona tatizo hapo!
Unayajua matatizo kweli wewe?
Ushawahi kulala na mgonjwa hospitali miezi 4 wewe?...usiombe upate matatizo, tema mate chini!
 
mim ni kijana wa miaka 24 naish apa apa dar.tatizo langu ni moja kama c mawili kila nifanyapo tendo la ndoa na mdada hudiliki kutoniacha kabisa na kuniganda kama ruba kiasi kila niombacho napewa sasa nawachumba wawil ambao makwao mafahar(matajir) na wote wananisikilza kila nisemalo kias kuw nikitaka kumwambia mmoja wapo kila mmoja huanza kulia na kutokula siku nzima na kutaka kujinyonga na wazaz wake kuja kunitafta kwetu nipo ktk kiza cjui cha kufanya na kuendesha mapenz watu wawil kitu ambacho utakuw unamuumiza mmoja wap je wana JF munanishaulije
Sikulaumu kwan still ww bado mvulana,
Sina cha kukushauri kwa sasa,
Hope siku ikijitambua na kuwa mwanaume utajua cha kufanya,endelea nao wote kwa sasa.
 
waoe. sisi waislam tunaoa hata wake wanne na zaidi sasa wewe unasema wawili tu. nakushangaa.
 
Back
Top Bottom