Naomben msaada wa mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomben msaada wa mawazo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Erick mgongolwa, Oct 6, 2012.

 1. E

  Erick mgongolwa New Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi mwaka 2011/2012 ckujiunga na masomo kwasababu ckupata mkopo lakin chaajabu na kusitisha mwaka huu niliambia previes loanee kwenda board naambia nadaiwa 2471250/= nauliza naambiwa hela ilitumwa chuon st joseph sasa nifanyeje wakubwa wangu na bila kulipa hiyo mkopo niliyo pewa mwaka hu wanakata
   
Loading...