Naomben msaada wa mawazo

wakati unakata mauno mbona hukutushirikisha?
 
Naiona ndoa hii ikielekea ukingoni.

Anakuja mtoto, mahaba mengi yatakuwa kwa mtoto, mtoto nae ataanza kuuliza, mbona siku zote baba haukuwepo!? Mtamdanganya ili atulie.

Mara utaanza kummisi baba mtoto kwamba angekuwepo, mngemlea vyema mwanenu. Naona kila dalili ya mawasiliano na mzazi mwenzio yakurudi kwa spidi ya hatari.
 
Mbona Kama ushamaliza hapo kwenye conclusion unataka Ushauri upi tena
 
Nimeyapenda maamuzi ya jamaa alie kuacha sababu huna kazi......kuishi na mwanamke asiye na kazi Ni mzigo sana
Mungu muache tu aitwe Mungu nilifight nilienda chuo kwa hasira huku mtoto ananyonya....imagine unalala night vitanda vya wagonjwa nalaza mtoto hapo ...Mungu akanisaidia mwaka Jana nikapata ajira....
Mkewe alikua na cheti feki katumbuliwa...Mungu muache tu
 
Reactions: THT
Ushauri wangu mzalie kwanza huyo mwanaume ndio ujue baadae utafanyaje, ila nawe awali kabla ya ndoa kwann ulimficha kumwambia kama una mtoto?
 
Ongea na Mumeo kama hana tatzo muombe umchukue, btw wanaume huwa sio shida sana kama mlivyo nyie.
Mie nikimpenda mwanamke hata kama anao wanne aje nao, shida ipo wapi? Unamjua nani atakayekuzika
 
Ushauri wangu mzalie kwanza huyo mwanaume ndio ujue baadae utafanyaje, ila nawe awali kabla ya ndoa kwann ulimficha kumwambia kama una mtoto?
Anafaham na hana tatizo shida ndugu zake ndio mh!!!
 
Ukweli ni kuwa mwanaume kuishi na mtoto wa mwanaume mwenzie ilhali yeye hana mtoto ni ngumu sana! Kama wapo wanaoweza ni wachache. Bora uzae kwanza mtoto akishakua ndio itakuwa afadhali kukaa nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…