Mimi unaniachaje?Ushauri mzuri hapo mwisho
SawaPOLE SANA MKUU ILA SIKU NYINGINE UWE UNAKUMBUKA KONDOM
Nashindwa hata cha kukushauri mamaangu, nilitaka kukuambia jaribu kuongea na mumeo kama anaweza kukubali uje na mtoto lakini nikakumbuka ndugu zako wa upande wa mume watasemaje ukizingatia hapo kwa ndugu yao hujazaaMimi unaniachaje?
Comment nzuri sana mkuuJiulize haya maswali...una miaka mingapi ya kuishi hapa duniani? na kwa nini mtu mmoja akunyime furaha unayoitaka?kama unataka kuishi na mtoto wako,piga chini ndoa jipange kiuchumi utatue changamoto zako.Jitahidi kila siku iwe ni siku ya furaha kwako...kuishi ni bahati pia,tumia pumzi yako bila kumkwaza mwingine na bila kujikwaza wewe.
waufanyie kazi sana huu wosia.Jaman mabint nawashauri msizae nje ya ndoa jaman changamoto ni nyingi Sana, hasa Kama unampango wa kuja kuolewa badae