Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Mkuu Nilisikia Ualiwu Ni Kuanzia Division Three, Tena Kwa Huyo Ambaye Kapitia QT SIJUI, Ngoja waje wajuziMke wangu amefanya mtihan wa kidato cha nne,matokeo yake ni division four ya 29
Je anaweza kusoma ualimu kwa vyuo vya private ?
Je ada ni bei gani,
Nipo dar, ningependa vilivyo karibu na dar kama inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee , ngoja wajeMkuu Nilisikia Ualiwu Ni Kuanzia Division Three, Tena Kwa Huyo Ambaye Kapitia QT SIJUI, Ngoja waje wajuzi
Kuwa na adabu, unayemuona kilaza ndio mnawafata na kuwaomba kazi , ukikua utajua maisha ni nini, kwasasa unakula na kulala kwa shemeji ,unaona kila kitu fresh tuUalimu ni points 25 kwenda ju.. Hiyo 29 kaa nayo ualimu hawachuki vilaza kipindi hiki cha magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na adabu, unayemuona kilaza ndio mnawafata na kuwaomba kazi , ukikua utajua maisha ni nini, kwasasa unakula na kulala kwa shemeji ,unaona kila kitu fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kuwa na kaul nzur,Samahani mkuu, ila me nina kazi yangu sikai kwa shemeji[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujatumia busara hata kidogo katika kumjibu uyo ndugu!!Ualimu ni points 25 kwenda ju.. Hiyo 29 kaa nayo ualimu hawachuki vilaza kipindi hiki cha magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna adabu kabisa Magufuli amefuata Nini hapa kwenye hi thread ya Mkuu,tunaomba tuwe na Adabu na Heshima humu ndani.Ualimu ni points 25 kwenda ju.. Hiyo 29 kaa nayo ualimu hawachuki vilaza kipindi hiki cha magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app