Milale JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 494 Reaction score 189 Jul 4, 2014 #1 Habar zenu ndugu zangu.mi ni kijan mwenye umr wa miaka 24 naomben kazi yoyot iliyo halali niko dar kwa anaewez kunisaidia nitashukur
Habar zenu ndugu zangu.mi ni kijan mwenye umr wa miaka 24 naomben kazi yoyot iliyo halali niko dar kwa anaewez kunisaidia nitashukur
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Jul 4, 2014 #2 Ni pm umepata location ya kazi ni magwepande kazi ni kuogesha watoto na wazee !! Fanya hivyo swaumu njema
Ni pm umepata location ya kazi ni magwepande kazi ni kuogesha watoto na wazee !! Fanya hivyo swaumu njema
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Jul 4, 2014 #3 jaman mtu anapoomba msaada c lazima ufanye utani umu tuwe serious
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,218 Jul 4, 2014 #4 ujuzi wako???elimu???
M Man tindwa JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 301 Reaction score 43 Jul 4, 2014 #5 Kuwa serious kidogo kiongozi elezea elimu yako watu wajue unasaidiwa vp kaka
Milale JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 494 Reaction score 189 Jul 4, 2014 Thread starter #6 nina elimu ya kidato cha nne
Milale JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 494 Reaction score 189 Jul 4, 2014 Thread starter #7 cna ujuz wowot zaid ya kutengenez cm mkuu
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,508 Reaction score 376 Jul 4, 2014 #8 Milale said: cna ujuz wowot zaid ya kutengenez cm mkuu Click to expand... Sasa si utengeneze simu au unataka kazi gani tena Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Milale said: cna ujuz wowot zaid ya kutengenez cm mkuu Click to expand... Sasa si utengeneze simu au unataka kazi gani tena Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Milale JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 494 Reaction score 189 Jul 4, 2014 Thread starter #9 mgonjwa said: Ni pm umepata location ya kazi ni magwepande kazi ni kuogesha watoto na wazee !! Fanya hivyo swaumu njema Click to expand... ulichokiandika na jina lako havina tofauti nashukr
mgonjwa said: Ni pm umepata location ya kazi ni magwepande kazi ni kuogesha watoto na wazee !! Fanya hivyo swaumu njema Click to expand... ulichokiandika na jina lako havina tofauti nashukr