Naombe mnitajie wise names

Naombe mnitajie wise names

Girl: Miranda, Michelle, Amanda, Sasha, Solana, Gwendolina, Daisy, Laura, Magdalena, Verdiana
Boy: Davion, Lafayyete, Santana, Anthony, Jacob, Benjamin, Abram, Delmont, John, Michael, Vince, Mario[/QUOTE

Punguza UTUMWA hakuna majina mazuri ya KIBANTU mazuri unayojua?
Ulimbukeni mwingne sio.
We hujielewi wewe na limbukeni ni wewe mwenyewe... Kama unadhani utumwa upo kwenye majina unakosea sana na utakua unapingana na historia kwamba tulitawalia na wazungu na ndio wao walituletea dini... Rudia tena kusoma hasara za ukoloni, pengine unaweza kuelewa na kupunguza utumwa wa akili uliokua nao. Jiangalie, unapotoa comment jaribu kuiga kidogo wasomi wanavyofanya mambo yao. Nice time.
 
Punguza UTUMWA hakuna majina mazuri ya KIBANTU mazuri unayojua?
Ulimbukeni mwingne sio.[/QUOTE] We hujielewi wewe na limbukeni ni wewe mwenyewe... Kama unadhani utumwa upo kwenye majina unakosea sana na utakua unapingana na historia kwamba tulitawalia na wazungu na ndio wao walituletea dini... Rudia tena kusoma hasara za ukoloni, pengine unaweza kuelewa na kupunguza utumwa wa akili uliokua nao. Jiangalie, unapotoa comment jaribu kuiga kidogo wasomi wanavyofanya mambo yao. Nice time.
 
Back
Top Bottom