Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 953
- 749
Jamani wanajf natumaini mko poa niko hapa kwaajili ya kupata majina mbalimbali ya watoto wa jinsia zote ambayo ukimpa mwanao yanamfanya kuwa mtu wa mafanikio mean while anakuwa wise coz mi ni wale wanao amini kuna uhusiano kati ya jina na tabia..but i know kuna watu wengine mtaanza kunishambulia msinishambulie bali mnisaidie hayo majina kama huna mchango wwt nibora usiandike kitu coz siwalazimish bali ninawaomba.