Invisible Elly
Member
- Feb 26, 2017
- 49
- 67
Google hamna, mwenyewe nilitafuta nikashindwa kupata
heshima yako afande,tusaidie direct link ,pengine ww ukienda u tube unaweza ona jila la hlo gwaride la kutoa heshima kuliaaa na ukatupa linki kuliko sis kwenye kutafuta moja moja mpka tuipate.....Kuna Clip moja ya JKT nahisi ni KANEMBWA au MLALE JKT, OP KIKWETE wakati wanamaliza mafunzo kabla ya gwaride kuanza(ile intro') wanaupiga. Ingia YouTube utafute gwaride zote za JKT utaupata mkuu.
Audio jaribu hiyoWakuu habari zenu,,, natumai mu wazima na mnaendelea na shughuli za kulijenga Taifa.
Naomba mwenye Audio ya huu wimbo anisaidie kuipata.
"Tazama ramani utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaaaaaa....
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa,
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha.
Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania. Majira yetu haya, yangekuwaje sasa,
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha.
Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa,
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha".
Ahsanteni...
Hahah mimi sio afande, we cheki YouTube lile gwaride la kuanzia dakika 45 kuendelea(zipo gwaride mbili tofauti, ya Part I & II zinajitegemea) achana na vile vya dakika 2-15 kiongozi. Andika KANEMBWA JKTheshima yako afande,tusaidie direct link ,pengine ww ukienda u tube unaweza ona jila la hlo gwaride la kutoa heshima kuliaaa na ukatupa linki kuliko sis kwenye kutafuta moja moja mpka tuipate.....
Wimbo mkali nimeupenda sana
safi sanaAudio jaribu hiyo