Naomba waraka mpya wa Uhamisho

Naomba waraka mpya wa Uhamisho

Kayler

Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
25
Reaction score
6
Mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kuhama kwenda mkoa mwingine. Hivyo basi naomba mdau yeyote mwenye waraka mpya wa hivi karibuni anitumie sasa hivi. Maana nilionao ni waraka wa zaman kidogo. Please, naomba msaada wenu..
 
Back
Top Bottom