Naomba utatuzi wa hili

Ukitoa roaming unaweza usipate data 3G/4G.

Kuitoa inategemeana na aina ya simu ila ni kwenye data settings ...
 
Simu yako aina gani? Kuna sehem kwenye network options unachagua roaming iwe on au off. Angalia kwako ikoje?

Roaming inakusaidia kama unaenda nchi nyingine ambapo huduma ya simu yako haipatikani lakini unaweza kupata huduma kwa kupitia mtandao mwingine ila kuna gharama ya ziada.
 
Natumia cx mkuu,,na kwenye setting ipo of,
 
TTCL sehemu nyingi hawana minara ya simu hivyo wanatumia minara na network ya tiGO kufanya Roaming. sooo sio kitu cha ajabu we acha iwe on wala isikusumbue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom