Mngempa muda kwanza, mmeharakisha mno.
Cha kufanya kwa hivi sasa msimbugudhi mwacheni, hamuwezi jua alikutana na masahibu gani. Pengine alibakwa hamuwezi jua.
Msimtenge na kumfanya kujisikia jamii haimtaki, endeleeni kuwa nae baada ya muda kidogo kidogo atakuja kufunguka kuwaambieni kilichomsibu