Digoxin JR
Member
- Jul 1, 2014
- 83
- 14
Kuna mdogo wetu wa kike aliondoka miaka miwili ilyopita, alituaga ameenda kutafta kazi hyo ilikua ni baada ya kupata certificate yake ya mambo ya uhasibu.. leo amekuja nyumban baada ya hyo miaka miwili akiwa na mtoto mchanga(mwez mmoja). Cha ajabu tunamhoji baba wa huyo mtoto ni nan hataki kusema anakaa tu kmya.. tumechukua jukumu la kumhoji kwa sababu amekuja na mtoto ambaye tiyar kwa tamadun zetu sio sehemu ya ukoo wetu. Tumeita had wazee wa kijiji lakin bado hataki kusema baba wa mtoto niyup.. tunaomben ushauri wa mawazo jamani tufanyeje???