Habari za kazi wanajamvi,
Niliwahi kuomba ushauri hapa,nashuuru nilifanikiwa.
Kuna tatizo limetokea tena kwa huyu mzazi mwenzangu, aliomba awe anakuja kumuona mtoto binafsi sikuafikiana nae na sikuwahi kumuosha ninapoishi amepatafuta mpaka amepapata.
Ameibuka anadai anataka tuoane tulee mtoto, la tatizo mwenzangu sijui niseme wivu wa kijinga hataki niwe na namba za wafanyakazi wenzangu hata ndugu zangu asiowajua ni matatizo hajawi kuja kujitambulisha kwa ndugu zangu na wala hawajui.
Nikipigiwa simu anafoka weka loudpeaker kila wakati anakagua simu ila ya kwake hakuna kushika na anataka nibadilishe line na nilishamwambia simtaki hanielewi.
Ninakofanya kazi nimepata mkopo mungu amenisimamia nimeanzisha biashara na pia mwanangu nampa matunzo bila shida hatumuombi chochote ndio maneno eti nina kiburi,na anataka niwe nampa pesa yeye kazi hana na mie siwezi kumpa.
Naombeni ushauri nifanye nini sina raha mpaka ananitishia maisha