Naomba ushauri

kwaji

Senior Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
186
Reaction score
32
Mke wangu amekuta comdom kwenye gari yangu nitamwabia nini mkapa anielewe jamani
 
semina ya ukimwi tumepewa sample kwa kila mmoja wetu
 
Mkapa atakuelewa tu si muda wake wa kuongoza nchi uliisha.
 
Mwambie umepewa zawadi na secretary wako
 
Mwambie ukweli ulikutaba na x wako sasa ungefanyaje?
 
Sorry nimekosea 《mpaka》 anielewe
 
Mwambie si zako, ulimpa ride/lift rafiki yako akazisahau kwenye gari au akaidondosha (kama ni moja tu) ndani ya gari, kila la heri.
 
umri wako kwanza., make suala ndoa mwalichukulia kirahisi sana mkapa basi.
 
Hakuna unachoweza mwambia akakuelewa....

Anaweza kuamua kupiga kimya.

Ila siku ukikuta condom kwenye pochi yake piga kimya
 
Umechelewa kuomba ushauri,ulitakiwa uje kabla hujaanza kuzitumia michepukoni,
Huyo mke hujampata ghafla,ulikuwa nae kabla hujaenda kununua hizo condoms na pengine kabla hujatafuta huo mchepuko,naamini ulishajiandaa kum face siku akikubamba pia.
Nyie si mnajifanya wazee wa tahadhari,na kwenu kuchepuka ni sehemu ya maisha?
 
hata ukienda kwa wakili akutetee kesi ya mauaji na wewe ndio umeua lazima umwelezee ukweli ndipo atafute mbinu za kukutetea.

sasa basi tueleze sisi hiyo condom imefikaje kwenye gari lako ndipo tukuambie ya kumweleza Mkapa.
 
Anavyotetemeka tu says it all!!
Hiyo shombo anayonuka si kwa kubeba nyama tu,alishakula hiyo nyama!!
 
kwani yeye hafahamu matumizi yake mkuu?
 
hujitambui kwa sasa, hadi unamtafuta mkapa?
 
Anavyotetemeka tu says it all!!
Hiyo shombo anayonuka si kwa kubeba nyama tu,alishakula hiyo nyama!!

ila mwoga kuongea. sasa sijui tukimpa ushauri ataweza kumweleza mkewe au ndo atatetemeka tu.
 
ila mwoga kuongea. sasa sijui tukimpa ushauri ataweza kumweleza mkewe au ndo atatetemeka tu.

Hahaaaa!
Huyu akaungame tu,kama mkewe kichwa inapata moto akimbana kwa maswali hachomoki.
 
Hiyo condom aliyoikuta kwenye gari yako...imetumika au ni moja ya mbili ulizotumia mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…