Naomba ushauri

achyb

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Habar wana JF.! Kna msichana ambaye tunapendana sana na tushahaidiana kuoana.. kipindi nko nae tulikua tunapendana sana lakin badae yy alienda mwanza kwa wazaz wake sasa yapata miez tisa, mawasiliano yalienda vzr lkn badae akaanza kubadilika.. nikajua moja kwa moja ashapata mtu mwngne lkn kila nkuimuulza anadai hana na hawez kabisa kunsalit na kwa kipnd chote et hajawah kuwa na m2..! Kutaka kujua ukwel nkamwambia rafk angu aliyeko mwanza amtafte ajarib kumtongoza kwa njia yyte ili nijue msimamo wa dem.. jamaa nikamtumia no. akafanya kama tulivyopanga... dem alimsumbua sana lkn badae akamkubali na akamwambia kuwa hana mtu.. jamaa aliniforwadia kila sms wanazotumiana, baada ya kujia ukwel jamaa alamuacha.. mpka saiv kila nkiongea nae anasema kuwa hajawah kunsalit. Sasa leo kanambia anakuja wk ijayo.. sasa cjui nmfanyeje na ushahd wote ninao, istoshe nshamtambulisha had home.. naomben ushaur wenu ndgu kwan nshajua kuwa sio mwaminif na wala hana mpango na mm.. lakin hatak kuniambia anahaid tutaoana.
 
Unajua kama mwanamume nakushauri vitu vyengine sio vyakujaribu, unaweza muonesha ushahidi na yeye akasema jamaako uliemtuma na yeye katafuna, utamlaumu nani??
 
Reactions: BAK
ngumu sana kushauri kwa kusikiliza upande mmoja.
 
haya ndio mambo ya ajabu ambayo yanakera haswa. We ulimtumia mtu amjaribu ili nin?
 
^^
Na wewe una makosa yako.. Ulikuwa unapima utakatifu? Let me tell you.. Mwanamke hajaribiwi msimamo wake kupitia rafiki.Hawa wenzetu wepesi wa kusahau maneno matamu na elfu kumi ya salio anagawa kombe!
^^
 
Pole sana! pokea Busara za Mseminary RUDVANNESTROOY; Ukweli hata ktk maandiko kitabu cha Mwanza tunaona kua Mwanamke ndie alie kua wa kwanza kudanganywa na yule nyoka na kukubali kumsaliti Mungu na kumshawishi Adamu nae amsaliti Mungu,hivyo basi suala la usaliti wanawake kwa waume zao ni suala la kurithi kutoka kwa Hawa hivyo ni asili yao wanawake wote isipokua baadhi yao wana jitahidi kupunguza.Hivyo kwa mwanamke yeyote yule akipata ushawishi wa vitu hivi kama ww humpatii lazima asaliti; 1.PESA 2.MAPENZI YA DHATI YA UKALIBU 3.MUAONEKANO WAKO NA WAKE KTK JAMII 5.MAISHA MAZURI 6.NDOA KAMA HAJAOLEWA 7.DINI 8.ELIMU 9.TABIA NZURI 10.UVUMILIVU. Kwa hiyo kama mwanaume anamapungufu mengi ktk hayo alafu akaja mtu ambaye anavigezo hivyo vingi unafikili nini kitatokea? Hivyo maandiko yanatuambia kua unapokua na mwanamke kaanae kwa akili kutokana na mapungufu hayo yalio jitokeza.Cha kufanya kabla ya kuchukua hatua ya kumuacha emu chunguza hivyo vigezo hapo juu unavyo vyote? Kama hauna au unamapufu basi jirekebishe na kumpa mikakati ya namna gani ww unaweza kufikia vigezo hivyo ili usitoe mwanya wa wengine kutumia mapungufu haya ulio nayo kwa kumshawishi mpenzi wako na kusababisha kukusaliti na kuchukua maamuzi mabaya kama ya kupiga RISASI na kujiua.Kwa hiyo haya mambo tusiangalie tu kwa wanawake kwani hata sisi niwasaliti pia.Sasa basi kabla hujamnyoshea mwenzio jitathimini kwanza mwenyewe, nadhani kwa ushauri nilio kupa utafanya maamuzi yaliyo sahihi na wala si kukurupuka.Na hiyo tabia ya kumjaribu mwenzio sio nzuri kwani hata ingekua umejaribiwa ww ungeingia king kutokana na vigezo vya hapo juu.
 

Pole sana! pokea Busara za Mseminary RUDVANNESTROOY; Ukweli hata ktk maandiko kitabu cha Mwanza tunaona kua Mwanamke ndie alie kua wa kwanza kudanganywa na yule nyoka na kukubali kumsaliti Mungu na kumshawishi Adamu nae amsaliti Mungu,hivyo basi suala la usaliti wanawake kwa waume zao ni suala la kurithi kutoka kwa Hawa hivyo ni asili yao wanawake wote isipokua baadhi yao wana jitahidi kupunguza.Hivyo kwa mwanamke yeyote yule akipata ushawishi wa vitu hivi kama ww humpatii lazima asaliti; 1.PESA 2.MAPENZI YA DHATI YA UKALIBU 3.MUAONEKANO WAKO NA WAKE KTK JAMII 5.MAISHA MAZURI 6.NDOA KAMA HAJAOLEWA 7.DINI 8.ELIMU 9.TABIA NZURI 10.UVUMILIVU. Kwa hiyo kama mwanaume anamapungufu mengi ktk hayo alafu akaja mtu ambaye anavigezo hivyo vingi unafikili nini kitatokea? Hivyo maandiko yanatuambia kua unapokua na mwanamke kaanae kwa akili kutokana na mapungufu hayo yalio jitokeza.Cha kufanya kabla ya kuchukua hatua ya kumuacha emu chunguza hivyo vigezo hapo juu unavyo vyote? Kama hauna au unamapufu basi jirekebishe na kumpa mikakati ya namna gani ww unaweza kufikia vigezo hivyo ili usitoe mwanya wa wengine kutumia mapungufu haya ulio nayo kwa kumshawishi mpenzi wako na kusababisha kukusaliti na kuchukua maamuzi mabaya kama ya kupiga RISASI na kujiua.Kwa hiyo haya mambo tusiangalie tu kwa wanawake kwani hata sisi niwasaliti pia.Sasa basi kabla hujamnyoshea mwenzio jitathimini kwanza mwenyewe, nadhani kwa ushauri nilio kupa utafanya maamuzi yaliyo sahihi na wala si kukurupuka.Na hiyo tabia ya kumjaribu mwenzio sio nzuri kwani hata ingekua umejaribiwa ww ungeingia king kutokana na vigezo vya hapo juu.Kama ni mkristo basi soma andiko hili '' ‘‘ YAKOBO 1:13-16 ''13Mtu anapojaribiwa asiseme,''Ninajaribiwa na Mungu’’ kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala Yeye hamjaribu mtu ye yote. 14Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe. 15Basi ile tamaa akiisha kuchukua mimba, huzaa dhambi, ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti.
16Ndugu zangu, msidanganyike.
 
Wewe hufai kuwa na mwanamke mpaka utakapokua.... huenda na huyo Rafiki yako alikula mzigo ila anakuchora tu sasa.. Pambaf kabisa!!!!
 
Eti nikamtumia rafiki yangu number ya simu, you are talking nonsense man. Hata mkeo pia utakuja kuwa unagawa number zake ukiwambia marafiki zako wamtongoze. Jirekebishe kwanza wewe.
 
Eti nikamtumia rafiki yangu number ya simu, you are talking nonsense man. Hata mkeo pia utakuja kuwa unagawa number zake ukiwambia marafiki zako wamtongoze. Jirekebishe kwanza wewe.
Kuna watu na viatu, yeye mpaka sasa hivi alshagonga wangapi? Mara nyingi sana wanaume huwa tunapenda kuangalia vibanzi ndani ya macho ya wapenzi wetu wakati ss tuna mabolt makubwa.
 
Some people create their own storms&get mad when it rains.
 
Let me take a break!how old are you? You must be very STUPID(excuse my French)!. .
Lets talk now zero brain!
Unanishangaza.
1. Mwanamke unampenda sana to a point umemtambulisha mpaka kwenu, sivyo? Kwa stage ya uhusiano wenu sikuona haja ya kum-test.
2. Je kwa upande wake yeye angetafta rafiki yake aliyepo ulipo ajilengeshe kwako ungechomoka? U acted so unfair.
3.Kwenye 'story' yako hujaeleza je kama huyo rafiki yako alilala nae au ni mimi sijaelewa labda, if hakulala nae unamuacha kwa kigezo cha 'kutongozwa' impliedly na rafiki yako, utaacha wangapi. .
Nionavyo mimi. . .
1. Umepata mwanamke mwingine unatafuta an easy excuse, nimesema hivyo coz asilimia kubwa ya wanaume don't breakup to be single. While a lot of women can.
2. It will be so childish kumfanya ajue ulimtest through huyo rafiki yako.
3.Sioni kosa la msingi la kusema unamuacha.
Adios!
 
sasa unamuacha kwa kosa gan???nathan ya r IQ is low mzee...nenda wakakupime mzee maana maelezo uliotoa na na nji uliotimia azifanani kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…