Naomba ushauri

black and white

Senior Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
102
Reaction score
26
kuna tetesı kuwa mkewangu anataka kupewa ukuu wa wılaya
je hıı nı habarı njema au sınjema.

ushaurı
 
Uongozi wa JF ungeunda jukwaa la wagonjwa wa akili humu jamvini ili na wao basi wapate mahala pao pa kubandika mabandiko yao, maana hivi sasa wagonjwa hawa wa akili wanaingia kila jukwaa na wanabandika mabandiko yanayotakiwa kujadiliwa na wagonjwa wa akili tu na sio vinginevyo, mfano ni ili bandiko, mtu mwenye akili timamu hawezi kujadili hapa, wala kutoa ushauri, mapendekezo, maoni wala pongezi.

cc: Invisible.
 
Last edited by a moderator:
yaani nawe mwenye mke unasema eti unasikia tetesi...?toka kwa nani?..nitajie jina lake nikuthibitishie?lakini ni mzuri?weka na picha yake!
 
we hacha tu napewa ongera narafıkı zake wakarıbu nıkımuhulıza nikutabasamu na kukwepesha mada.
 
yaani nawe mwenye mke unasema eti unasikia tetesi...?toka kwa nani?..nitajie jina lake nikuthibitishie?lakini ni mzuri?weka na picha yake!

huyu mke wangu ni mchanganyıko wakısomalı na mnyarwanda sasa unaweza pata pıcha.
 
Kazi unayo???Uwe tayari kwenda nae namtumbo
 
We unaonaje?
Ni hali ya kawaida au ya hatari?!
 
Unafikiri ameshatoa ... Sa.sa wanarudisha shukurani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…