Kuna mwalimu nafundisha nae wa kiume anaitwa Peter Kipeja tunafundisha shule ya msingi Kimakolele ipo Tarime , Mara. Alinitongoza nkamkataa, juzi boyfriend angu alipiga simu yeye akapokea , simu ilikua kwa chaji kwa mwalimu mwenzangu, akaanza kujibizana na boyfriend angu akamwambia eti yeye (Peter Kipeja) ndo ananichukua kwa sasa. Alichkua pia namba ya boyfriend angu akawa anampigia simu na anatuma text kwake kwamba mi nam cheat. Sasa hv nipo dar na boyfriend angu ananitumia msg et kwann cpokea simu ake pia katuma text kwa bf angu anamwambia niwashe simu. hivi mtu kama huyu nimfanyanyaje ? naomba ushauri hata wa kisheria . Juzi nilimwambia mwalimu mkuu tukamwekea kikao akamuonya na yeye akasema hatonisumbua sasa naona anaendelea mi nikiwa na bf. ushauri pls
'The Magnificient 'its better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove a doubt , nway yo're a little silly cowboy.
ukitongozwa unautangazia umma? we ni mtoto,mjinga au mpumbavu? kama hata hao watoto wa shule ya msingi huwezi kuwa mfano bora kwao ni bora ukakae nyumbani huo ualimu haukufai hata kidogo. ana ungekuwa mzuri je unatongozwa na kila mti ingekuwaje?
jiheshimu we binti,huyo unayemuita boyfriend wako atakuwa kilaza kama wewe[/QU
I have been approached by so many guys but am sorry if you support him , you are a dickhead. as a girl I dont mind to be approached by guys , I hate someone who forces me to be his lover , What frustrates me mostly is his attitudes of calling my boyfriend , if you are a type of this guy u must stop immediately coz u dont respect women (sexual harrasment). If u think am some sort of stupid better walk on my feet before you judge me. Why would you call the boyfriend and keep telling am cheating on him. why would you???? He gets call from this guy every now and then, like yesterday we were sleeping and he got called 3 am. am determined not only to disclose him but also to get him face consequence.
age doesnt matter, thats y I said keep ur head down
'The Magnificient 'its better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove a doubt , nway yo're a little silly cowboy.
we mwalimu!!!!!!!!!...you are a dickhead...
ukiwakuta kwenye ofisi zao utawasikia kazi na dawa bwana!!!mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!!Kuna sababu nying sana za wanafunzi kufeli.kama walimu wao wenyewe ndio hawa wanaotongozana ovyo na kufanya ngono zembe kama huyu mleta mada,unategemea kuna kitu hapo wanachofundishwa?
Umeamua kuandika kiingereza sasa hiv ukidhani utaonekana mkubwa? wewe hujielewi,mtu kama anakusumbua mwambie ukweli na kama hataki kwanini usimchukulie hatua? na huyo boyfriend wako ni mwanaume gani anapigiwa simu saa tisa usiku na hajui la kufanya hadi wewe uje umsaidie kusema kwenye media? Preta scorpion girl Blue G Evelyn Salt, Passion Lady,etc njooni muone mwenzenu analia kisa anatongozwa.
ukiwakuta kwenye ofisi zao utawasikia kazi na dawa bwana!!!mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!!
you are a dickhead.
we mwalimu!!!!!!!!!
hahhaah Zamaulid,nikae tu kimya maana nimejikuta natabasamu badala ya kukasirika baada ya kutukanwa na huyu kiumbe.Kwa mtindo wa waalim kama hawa nadhani mwakani tutakuwa na div zero 80%.
eti kutongozwa tu mbio hadi kwa mwalimu mkuu,ameona hiyo haitoshi amebebana hadi huku jf,sasa ni nini anaweza kufanya kwa maamzi yake mwenyewe!!ningekuwa mimi ndiye mwalimu mkuu wake na mimi ningemuomba!ndo maana hata serikali haitaki kuwaongezea mishahara yao kwa upuuzi kama huu wanaofanya!
msamehe bure ye alijuaeti kutongozwa tu mbio hadi kwa mwalimu mkuu,ameona hiyo haitoshi amebebana hadi huku jf,sasa ni nini anaweza kufanya kwa maamzi yake mwenyewe!!ningekuwa mimi ndiye mwalimu mkuu wake na mimi ningemuomba!
mkuu huyu ni wa shule ya msingi!tutarajie watoto kwenda sekondari ili hali hawajui kusoma wala kuandika majina yao!hahhaah Zamaulid,nikae tu kimya maana nimejikuta natabasamu badala ya kukasirika baada ya kutukanwa na huyu kiumbe.Kwa mtindo wa waalim kama hawa nadhani mwakani tutakuwa na div zero 80%.