Naomba ushauri

Naomba ushauri

endelea na huyo uliyenaye sasa, huyo mwingine asikuchanganye mbona alikukataa mwanzo ameona yameharibika anarudi..
 
Grow some hair and then come back...labda nitakushauri!!!
 
jf kuna ma autocorrect mpk wanatamani wangekuwa kwenye simu, hata ushauri hawatoi ni kucorrect grammer tu hahahaaa,

mtu akiandika mxhizi, utaona; did u mean "mchizi"
 
jf kuna ma autocorrect mpk wanatamani wangekuwa kwenye simu, hata ushauri hawatoi ni kucorrect grammer tu hahahaaa,

mtu akiandika mxhizi, utaona; did u mean "mchizi"

Unaweza kujibu swali ambalo haujalielewa?
 
Na kushauri kwanza jaribu kujifunza kuandika vizuri hili kila mtu aelewa hata mzee pengine ufanye editing mapema hili usije ukakosa ushauri ukaambulia kufundishwa jinsi ya kuandika!
S =x ?
S=c ?

Back to topic
wewe unajua kabisa ni yupi unampenda, hapa unatafuta justification tuu!
Ni vyema ukajiuliza kwa nini alikuacha bila sababu?
Je hawezi kukuacha tena bila sababu?
Ukijiuliza hayo maswali utapata jibu! Hii tabia ya kula matapishi yenu ndio inafanya kila siku mnalia jukwaani?
Mimi nina principle yakuto kula matapishi yangu sijui weye!

mijitu mingine haitoi ushauri kazi ni kuwakorekti wenzao yn wanachoshakweli
 
Kuna vitu ambavo hutakiwi kuomba ushauri Kama haya mambo! Mtu alikuacha sasa anataka tena umebadilika nini!?
 
Back
Top Bottom