Naomba Ushauri.>

Muhangaza

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Nimekuwa na Msichana kwa miaka mitatu tangu chuo hadi 2namaliza. Nikapata kazi Mkoani, nimefanya kazi kwa Miezi 5 nikiwa mbali na Mchumba wang lakin 2mekuwa 2kifanya Mawasiliano kwa kipind chote. Nilitokea kumwamini rafiki yangu (kazn) kupitiliza hadi nikampa Namba ya Shemeji yake. Sikujua kumbe jamaa anapeleka Maneno yakunigombanisha na Mchumba wang, kweli 2likolofishana. Ikabidi nimwombe Mama yangu Mzazi aniombee Msamaha. Yakaisha. Sasa kumbe wakati hoo 2megombana, akaamua Kulala na Mtu mwingine. Nilivyopata rikizo nikaenda Dar kwaajili yake ili 2weze kupanga Mipango ya Harusi. Kwani nilisha mtambulisha Nyumbani. Nilienda nikamkuta anaujauzito wa Wiki 3. Kweli iliniuma ikabidi nimwache na mie nikarud kazin. Bt aliitoa Mimba na Sasa ananiomba Msamaha 2rudiane. Kumpenda bado nampenda lakin nifikiria kilicho tokea Naumia sana. Jaman nifanyeje.?
 
Duuuh sijui bwana
sijui kwa kweli
 
Hapa kuna usaliti uuaji na mapenzi
chagua moja
 
Naweza kukuambia maneno meeengi matamu yanayohusu msamaha, lkn kiuhalisia kama ni mm siwezi tena kuwa na mtu kama huyo, jst let it go.
Ni muuaji, ni msaliti, hana mapenzi ya kweli.
Mm sipendi mtu anifanye dustbin ama last option, hayo yanakua si mapenzi, bali ni ile anaamua kuja kwako kwa kuwa hana jinsi, siku akipata tena upenyo atakusaliti
 

refer bold text above. nakushauri uchape lapa kaka, apo amna kitu.
 
Mkigombana tena ataenda tena kupigwa bao jingine kwasababu haiwezekani kama alikuwa hana mtu kipindi kidogo tuu cha ugomvi kapata mtu faster mpaka kikakatikia???
 
kama umeamua kusamehe samehe...kama nafsi haitaki kusamehe pia mpotezee...

ila kuwa makini na marafiki....

kumzoea zoea mwenza wako marufuku lazima kuwe na distance, sio unajilipua tu wewe uko maili kadhaa unamwachia fisi mifupa....
 

Hayatuhusu. Halafu wewe umemaliza chuo gani? rikizo ndio kitu gani? Kolofishana ndio nini?

 
vijana bwana hamaikii tuu mkiambiwa kuwa long distance never work...wewe ukisepa jua huna chako tena hapo....wanawake wanapenda duahelele sasa wee upo mbali unategemea nini

acha nae na naomba mwanawabe uachane na upuuzi wa long distance...hao wazubgu wanawadanganyeni tuu. mapenzi mnakabana hapa kwa hapa. pole sana lesson learned!!!
 
manyoya hayo mkuu:glasses-nerdy:
 
Mimi cha kukushauri sina mkuu ila ningependa kukupongeza kwa kuweza kuitambua mimba ya wiki tatu. Mimi nisingeweza kwa kweli na angeweza hata kunibambikia mtoto. Hongera sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ulijuaje alipata mimba na pia nani alikuambia kuwa kaitoa?

Na pia ulijuaje alitembea na mtu mwingine?

Kuna mambo mengine ni vipimo vya kutofautisha wanaume na wavulana/watoto....


Open your eyes meeeeeeeeeeeen!!!


Babu DC!!
 

nyie mod mambo gani haya ya kuruhusu kushare majina...kuweni makini bwana
 
Mimi cha kukushauri sina mkuu ila ningependa kukupongeza kwa kuweza kuitambua mimba ya wiki tatu. Mimi nisingeweza kwa kweli na angeweza hata kunibambikia mtoto. Hongera sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tuko pamoja Sumu,

Kuna maswali mengi yanahitaji majibu kabla ya kuendelea na mjadala....

Kwa sasa tusubiri kwanza ili tusijehesabika wabaya huko mbele ya safari!!

Babu DC!!
 
Tuko pamoja Sumu,

Kuna maswali mengi yanahitaji majibu kabla ya kuendelea na mjadala....

Kwa sasa tusubiri kwanza ili tusijehesabika wabaya huko mbele ya safari!!

Babu DC!!

Pamoja Dark City,

Na mimi ndo namsubiri ili nimsikie. Akitueleza jinsi alivyofahamu habari za hiyo mimba inaweza kusaidia kupunguza tatizo la kubambikiana mimba kila kukicha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…