chei chei bana, mna tabu nyie!
lea watoto acha uvivu...
Hujifikirii ukizeeka?
naona nipunguze bajeti ya juisi ya ukwaju na ubuyu
wanakuwa na nguvu za bure
Mkuu shukrani kwa mawazo na ushauri wako, niukubali nakupokea kwa moyo kunjufu.Hakuna ukweli wowote juu ya hilo,
endapo mwenzi wako unampenda kwa dhati na yeye anakupenda kwa dhati sio rahisi kukuumiza
labda kati yenu kuwe kunatofauti ambazo zitawapelekea kuumizana mioyo yenu.
Ukiwa unamjali mpenzi wako hii itamfanya hata yeye asiwe tayari kukuumiza kivyovyote vile.
Ila kabla haujamuingiza mpenzi wako ndani ya moyo wako si vibaya kumuangalia tabia yake na kumjua vizuri,
hii itakusaidia kujua ni kitu gani hupenda na kipi hapendi.
Ukifanya hivyo mtaishi kwa amani na upendo.
Eti kumjali nakumuonyesha Mpenzi wako unampenda kwa dhati Ni udhaifu na akikugundua ni rahisi kukufanya mtumwa wa mapenzi???
Kuna ukweli wowote kusiana hili???