Naomba ushauri

Naomba ushauri

Tungejua model yake, Engen ipi, ni ya mwaka gani , out au manual hapo itatusaidia kukushauri. I la kwakuanzia maisha ya Nissan ni mazuri sana ukishaanza kuyaishi huwezi kuyahama.
 
nina issue sawa kama ya mtoa mada, napenda sana pick up hilux double cabin,
nimejaribu kuangalia nissan wana qd32,yd25 na toyota ndio wana zile 1kz,1kd,2kd
na mimi naomba ushauri kwenye pick up nzuri na imara mana ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta used.
 
Zote ni imara ila kwenye body Nissan ana body ngumu sana,, kama hupendi mbio ishi na nissan hardbody engine code qd32 ila kama unapenda mbio na performance chukua yd25.. Vilevile Toyota engine 1kz ni old kidg japo haina noma,, 1kd nayo iko vzr sana ushauri wa mwisho ishi na nissan hardbody yd25
 
Shukrani sana brother.
 
Changamoto kubwa za hizo gari ni kabla hujaendesha ni lazima ukae seat ya dereva kwanza
 
Hapana brother nipo naishi na toyota hilux 2.8D LN166.
Ni unyama mwingi hakuna changamoto yoyote nishapiga safari Arusha - dodoma tatu,
Na Dar es salaam to dodoma moja, haijawahi nisumbua hata kidogo.
Alafu ni no. AF.
Hongera sana aisee.. nilijichanganya na ZD30 hakuna rangi sikuona mixer kuua turbo mara tatu..

Nika swap nikaweka QD32 mwaka wa tatu sasa nakula maisha..
 
Zd30 engine tamu sana tena ya hardbody haina mambo mengi.. Shida ipo kwa wamiliki
 
Hongera sana aisee.. nilijichanganya na ZD30 hakuna rangi sikuona mixer kuua turbo mara tatu..

Nika swap nikaweka QD32 mwaka wa tatu sasa nakula maisha..
Bado pia fundi au aliekushauri QD32 hakukupa ushauri mzuri sana.
Engines za pickups za Nissan ambazo ni simple,mkataba,hazisumbui,zinazokubali overauls zaidi ya mara moja,hazina turbo,mbwembwe za umeme nk ni engines za generation ya TD tu!(TD23,TD25&TD27)
 
Hongera sana aisee.. nilijichanganya na ZD30 hakuna rangi sikuona mixer kuua turbo mara tatu..

Nika swap nikaweka QD32 mwaka wa tatu sasa nakula maisha..
Pole sana, nafikiri tu ulipata gari inachangamoto toka awali, kumbe QD32 nazo ziko vizuri?
 
Back
Top Bottom